NOEL - NOELE (247)
EntreeAuteur non précisé
Refrain
Emanueli (2x) Mungu wetu (ekokati yetu) Kati yetu aleluya aleluya sifa kwake, sifa kwake Sifa kwake (duniani kote) duniani (na mbinguni juu) na mbinguni Na mbinguni wana sifu
Couplets
1.
Sisi wote tutoleye, myoyo zetu, kwa Yezu Twimbe wote, aleluya, kwa furaha, kwa shangwe