UMSIFU BWANA
PsaumeDominique KINDELE
Refrain
Umsifu Bwana umsifu Bwana umsifu e roho yangu umsifu Bwana Umsifu Bwana umsifu Bwana e roho yangu
Couplets
1.
Bwana anashika waminifu hata milele, Anawarudishia, warudishia haki, haki walio zulumiwa
2.
Bwana anawapa wenyi njaa mkate, Bwana anawapa wenyi njaa mkate ana wafungua wafungwa