TWENDE KUMEZA YAKE BWANA (D35)
CommunionDominique KINDELE
Refrain
Twende kumeza Yake Bwana (2x) Tukaribiye na furaha, bwan’atuita tumupokeye, Tupate uzima milele (2x) Atuita tumpokeye: nafuraha, atuita tumpokeye: na imani, Twende na furaha kumeza Yake Bwana Twende enyi ndugu kumeza Yake Bwana
Couplets
1.
Meza ya Bwana ni tayari kwa walio tayari
2.
Na furaha kubwa na imani tukampokeye Bwana
3.
Bwana atuita tumpokeye tupate uzima