NAJA KWAKO BWANA
EntreeAuteur inconnu
Refrain
Naja kwako bwana unipokee mtumishi wako (2x) kuijongea altare yako e bwana unipokee Katika milango yako bwana napita niwekee mkono wako unibariki. (2x)
Couplets
1.
Nina kuja kwako kukushujudia (kukutolea shukrani sala na maombi yangu 2x)
2.
Nitakushujudu ee Mungu wangu (nifanye toba ya kweli katika iyi nyumba takatifu 2x)
3.
Nitakuimbia nyimbo nzuri, (nyimbo nzuri za shangwe, kukuabudu ee bwana wangu 2x)