NAPIGA HODI (A31)
EntreeDominique LUSE
Refrain
Nita jongeya altare ya Bab’angu Nita ingiya nyumbani mwa bab’angu Nita jongeya altare ya Bab’angu furaha yangu na heri yangu (2x) CR RRR
Couplets
1.
Napiga hodi kwa Bab’angu na Yeye amenikaribisha Nasita tanga, tanga tena nisi peperushwe sawa na vumbi