SIFA SIFA (F27)
EntreeDominique LUSE
Refrain
Couplets
1.
Sifa sifa kwake Mungu, ametuma Mwokozi Ame atsha ufalume, utukufu, (juu) mbinguni
2.
Tazameni nyota iyo, imeenda Bethlemu Wa majusi, wame enda, na zawadi (yao) kwa Yesu