MTAKATIFU BWANA

Sanctus

Willy KASANDA

Refrain

Couplets

1.

Mtakatifu (2x) Bwana Mungu wa ulimwengu Mbingu na dunia zimejaa na sifa yako e Bwana, Ozana juu mbinguni Refrain : Twimbe ozana, ozana juu mbinguni (2x) Twimbe ozana aa (2x)

2.

Barikiwa yule anae kuja, anae kuja kwa jina la Bwana Ozana juu mbinguni (2x)

Santu Kanda

[email protected]

L'outil moderne pour vos célébrations liturgiques