NDIWE KOHANI
PsaumeFelix MAFO
Refrain
Ndiwe kohani hata milele, ndiwe Kohani (2x). Kadiri ya ukohani wa Melkisedeki (2x).
Couplets
1.
Bwana amemwambia, Bwana wangu Ukae kuume kwangu mpaka ni weke aduwi zako Kama kibawo chakuwekeya miguu yako.
2.
Ibrahimu aliporudi katika vita, Melkisedeki mfalme wa salemu akaleta mtake nadivai Naye alikuwa kohani wa Mungu aliye juu.
3.
Akambariki Ibrahimu, Akisema abarikiwe na Mungu aliye juu, asifiwe Mungu aliye juu, Aliye waweka maadui mikononi mwako.