TUIMBE KWA SHANGWE NA FURAHA

Entree

Auteur non précisé

Refrain

Twimbe kwa shangwe na furaha (x2) Bwana ametufanyia makuu

Couplets

1.

Tuingie kwake Mungu wetu, Tuingie kwake kwa shukrani, Bwana ametufanyia makuu

2.

Yeye ndiye Mungu wa miungu, Yeye ndiye Bwana wa mabwana, Bwana ametufanyia makuu

3.

Bwana ni mfalme wa wafalme, Yeye ndiye Baba wa viumbe, Bwana ametufanyia makuu

4.

Ametenda mambo ya ajabu, Aliye gizani hatajua, Bwana ametufanyia makuu

5.

Tuingie kwake Muumba wetu, Tuingie kwake kwa shukrani Bwana ametufanyia makuu

6.

Sifa na heshima kwake Mungu, Mwenye utukufu wa ajabu Bwana ametufanyia makuu

Santu Kanda

[email protected]

L'outil moderne pour vos célébrations liturgiques