MISA FADHILI

Gloria

Auteur non précisé

Refrain

Utukufu kwa Mungu Mbinguni Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni Na amani (kote) duniani Kwa watu wa mapenzi mema.

Couplets

1.

Tunakuheshimu tunakusifu, Tunakuabudu twakutukuza ee Bwana

2.

Tunakushukuru mfalme wa mbingu Mwana wa pekee mwana wa Baba ee Bwana

3.

Unayeondoa makosa yetu Utuhurumie tusikilize ee Bwana

4.

Kuume kwa Baba unapoketi Mtakatifu mkuu tuhurumie ee Bwana

5.

Roho Mtakatifu pamoja nawe, Ndani yake Bwana unatukuzwa ee Bwana

Santu Kanda

[email protected]

L'outil moderne pour vos célébrations liturgiques