TUMEALIKWA NA BWANA (D7)

Communion

Séverin MUZOMBO

Refrain

Couplets

1.

Tumealikwa na Bwana, twende tule mwili wake Meza ya Bwana tandikwa, twende tunue damu yake Yule anae taka kuukula mwili wake: Meza ya bwana imetandikwa, kwa nguo safi tuleni (2x) Yule anae taka kukunua damu yake: Meza ya bwana imetandikwa, kwa nguo safi tunueni (2x) Ooo (2x) tumealikwa sasa Tumealikwa na Bwana : tumealikwa sasa Kwa kula mwili Wake :tumealikwa sasa Kwa kunua damu Yake : tumealikwa sasa O baba yangu : tumealikwa sasa O mama yangu : tumealikwa sasa O kaka yangu : tumealikwa sasa O dada yangu : tumealikwa sasa O baba na mama : tumealikwa sasa O kaka na dada : tumealikwa sasa

Santu Kanda

[email protected]

L'outil moderne pour vos célébrations liturgiques